Monday, 9 November 2015

Zifahamu tabia sita za wachezaji wa Kibrazil ambazo karibia wote huwa wanazo …

Brazil ni nchi ambayo kila mpenda soka anaifahamu kwa kutoa vipaji vingi katika soka, katika mfumo wa uzalishaji wachezaji Brazil ni tofauti kidogo na nchi za Ulaya, asilimia kubwa ya wachezaji wazuri kutokea Brazil ni watu ambao wamejifunzia soka mtaani. Brazil ni nchi yenye idadi ya watu milioni 200 lakini asilimia kubwa ya vijana hupenda kujihusisha na mchezo wa soka. November 9 naomba nikusogezee tabia 5 za wachezaji wengi wa kibrazil ambazo wanatajwa kuwa nazo.
1- Ni aina ya wachezaji ambao hupenda kucheza soka nchini kwao, wachambuzi wengi wa masuala ya soka hupenda kusema kuwa wachezaji wa kibrazil huwa wanaumwa homa ya kupenda nyumbani, kama utakuwa unakumbuka vizuri kabla ya Neymar kujiunga na FC Barcelona kulikuwa na mjadala mrefu sana katika baadhi ya vyombo vya habari ambavyo wanaamini Neymar anapaswa kwenda Ulaya na wengine kusema hata Brazil anaweza kuwa mchezaji bora

No comments:

Post a Comment