UJASIRI WA WANASHERIA WASAIDIA KUPUNGUZA VITENDO VYA UKATILI WA JINSIA SOKO LA TABATA MUSLIM JIJINI DAR ES SALAAM
Katibu
wa soko la Tabata Muslim lililopo Manispaa ya Ilala, John Nombo
(kushoto), akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), Dar es
Salaam leo asubuhi, kuhusu kupungua kwa vitendo vya ukatili wa kijinsia
katika soko hilo baada ya Shirika la Equality for Growth (EfG), kutoa
mafunzo ya kupinga ukatili huo katika masoko sita ya Manispaa hiyo.
Kulia ni Mwezeshaji wa Sheria wa Soko hilo, Aisha Juma na Saada Ngunde
No comments:
Post a Comment