Louis van Gaal hajaridhishwa na kasi ya mawinga wa Man United, hawa ni nyota watano anaotajwa kuwasajili …

Presha ya mechi za Ligi Kuu Uingereza
msimu wa 2015/2016 imefanya vilabu kadhaa kuanza kuingia katika mipango
ya kufanya usajili wa wachezaji licha ya kuwa dirisha dogo la usajili
bado halijafunguliwa. Klabu yenye presha kuliko zote ni klabu ya Chelsea ila klabu ya Manchester United ikiwa chini ya Louis van Gaal imeshaanza kuhusishwa na mastaa watano tofauti.
Kocha wa Man United Louis van Gaal ambaye anataka timu yake ifanye mashambulizi kwa kasi na kuongeza idadi ya magoli, Van Gaal ameongea kauli kuhusu mwenendo wa kikosi chake na kukiri kuwa bado kikosi chake hakina kasi anayoitaka na kuwatolea mifano Juan Mata na Jesse Lingard.
No comments:
Post a Comment