Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy
Mwalimu amefanya ziara ya kutembelea vijiji vilivyokumbwa na mlipuko wa
ugonjwa usiojulikana katika kijiji cha mwaisabe, Wilayani Kondoa.
Katika ziara hilyo ameambatana na wataalam mbalimbali ambao
wameweka kambi kwenye vijiji hivyo ili kufuatilia wagonjwa
majumbani.vile vile ametembelea wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya
wilaya ya kondoa.
Mbunge wa Kondoa,Juma Nkamia akizungumza wakati wa ziara hiyo.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy
Mwalimu akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa wilaya ya Kondoa
Ummy Mwalimu amefanya ziara ya kutembelea vijiji vilivyokumbwa na
mlipuko wa ugonjwa usiojulikana katika kijiji cha mwaisabe,Wilayani
Kondoa
No comments:
Post a Comment