Kamishna
Mstaafu wa Jeshi la Polisi, Suleiman Kova akipunga mkono kwa Maofisa, wakaguzi,
Askari na wageni mbalimbali waliohudhururia sherehe za kumuaga rasmi Jeshini
baada ya kustaafu utumishi zilizoongozwa na Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi,
Abdulrahman Kaniki katika Chuo cha Polisi Moshi
Kamishna
Mstaafu wa Jeshi la Polisi, Suleiman Kova akikagua gwaride maalumu
lililoandaliwa kwa ajili yake wakati wa
sherehe za kumuaga rasmi Jeshini baada ya kustaafu utumishi
zilizoongozwa na Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, Abdulrahman Kaniki katika
Chuo cha Polisi Moshi
Maofisa
wa Polisi wakisukuma gari maalumu lililombeba Kamishna Mstaafu wa Jeshi la
Polisi Suleiman Kova kutoka katika viwanja vya Chuo cha Polisi Moshi wakati
wa sherehe za kumuaga rasmi Jeshini
baada ya kustaafu utumishi zilizoongozwa na Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi,
Abdulrahman Kaniki.
Gari
maalumu lililombeba Kamishna Mstaafu wa Jeshi la Polisi Suleiman Kova likipita
katika ya gwaride ikiwa ni ishara ya kumuaga zilizofanyika katika Chuo cha
Polisi Moshi nakuongozwa na Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, Abdulrahman
Kaniki
Gwaride Maalumu la
Kumuaga Kamishna Mstaafu Suleiman Kova likipita mbele yake kwa mwendo wa haraka
wakati wa Sherehe za kumuaga rasmi baada ya kustaafu utumishi.Sherehe hizo
zilifanyika katika chuo cha Polisi Moshi (Picha zote na Frank Geofray-Jeshi la
Polisi)
No comments:
Post a Comment