Thursday, 12 May 2016

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE MKUTANO WA KUPAMBANA NA RUSHWA, LONDON

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa kuingia kwenye ukumbi wa Lancaster House, London nchini Uingereza kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi kuhusu mapambano dhidi ya rushwa, Mei 12, 2016. Waziri Mkuu Majaliwa alimwakilisha Rais John Magufuli kwenye mkutano huo.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishiriki katika 
​mazungumzo rasmi ya Wakuu wa Nchi katika Mkutano unaojadili mapambano dhidi ya rushwa kwenye ukumbi wa Lancaster House, London, nchini Uingereza May 12, 2016. Wa tatu kushoto ni Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron. Mhe. Majaliwa alimwakilisha Rais John Magufuli katika mkutano huo

No comments:

Post a Comment