mahakama yaiamuru Kampuni ya TIGO kuwalipa mwana FA na AY zaidi ya Bil. 2
Mahakama
ya Hakimu Mkazi Ilala imeiamuru kampuni ya Mawasiliano ya TIGO kuwalipa
wasanii Hamis Mwinjuma 'MwanaFA' na Ambwene Yessaya 'AY' jumla ya
shilingi bilioni 2.18.
Fedha hizo ni za fidia baada ya kutumia nyimbo yao kama Caller Tune(Mwitikio wa simu) bila ruhusa wala mkataba
No comments:
Post a Comment