Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Udhibiti Usafirishaji Nchi Kavu na Majini, Johansen
Kahatano akizungumza na waahabari juu ya nauli za mabasi yaendayo kasi
haraka katikati ya jiji la Dar es Salaam,kutoka Mbezi mwisho –Kimara
–Kivukoni nauli ni800 mwanafunzi 200. Mbezi mwisho –Kimara –Kariakoo
nauli 800,mwanafunzi200. Morocco-Kimara –Mbezi Mwisho nauli
800,mwanafunzi 200. na Morocco-Kivukoni nauli 650. mwanafunzi 200.
Kariakoo – Morocco nauli 650.mwanafunzi 200.viwango vipya vya nauli
vinapaswa kuanza kutumika rasmi Mei,12 mwaka huu, mkutano huo
umefafanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Traffic wa Kanda,
Magembe Seni.

No comments:
Post a Comment