TSN SUPERMARKET/HYPERMARKET YAMWAGA “LOYALTY VOUCHERS’ KWA WATEJA WA MARA KWA MARA.
Meneja
Uhusiano na Masoko wa TSN Group, Jahu Kessy akitambulisha Vocha hizo
zilizogaiwa Mwanza kwa Wateja. Afisa Mwajiri wa TSN Group Amos Paul
akikabidhi Vocha hizo za punguzo la manunuzi ya bidhaa, kwa wateja wa
kwanza kufurahia punguzo hilo TSN hypermarket Mwanza.
Meneja
Uhusiano wa TSN Group, amesema mpango wao wa kuendelea kuboresha
biashara kwa kutangaza kwenye mitandao ya kijamii. Sasa unaweza kufollow
TSN Group TZ kwenye mitandao ya kijamii kwa promotion mbalimbali
zitakazoendelea kutambulishwa.
Sasa
unaweza ku’bargain’ kwenye supermarket, Meneja Uhusiano na Masoko wa TSN
Group, Jahu Kessy ameelezea kuhusu mikakati ya kuboresha biashara za
TSN kwa kutambulisha Loyalty Gift Vouchers kwa wateja.
Wateja
sasa wanaweza kuomba na kupata punguzo la bei ya bidhaa walizonunua
katika maduka yao yaliyopo, Kibo Complex-Tegeta, Bamaga Petrol
station-Mwenge, Baraka Plaza-Mikocheni, Tancon House-Posta, Swiss Tower
-Upanga Dar es Salaam pamoja na Rock City Mall-TSN Hyprmarket Mwanza
iliyofunguliwa hivi karibuni.
Meneja
Uhusiano huyo ambaye alizitambulisha Voucher hizo kwa mara ya kwanza
Mwanza amewataka wateja kumiminika katika maduka yao kupata punguzo hilo
la kwanza kufanyika katika supermartket.
Alisema
TSN inatoa punguzo la manunuzi kwa wateja wanaonunua bidhaa
zisizopungua chini ya laki tatu ndani ya wiki moja. Alisema kupata
punguzo la bei mteja atalazimika kujisajili na kuacha mawasiliano yake
ya simu na kuhakiki mauzo yake kwa wiki.
No comments:
Post a Comment