Monday, 9 May 2016


Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini ,Jafary Michael (mwenye suti) akiwa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi,Raymond Mboya (Kulia) wakizungumza na Diwani wa kata ya Ng'ambo ,Genesis Kiwhelu walipofika katika kata hiyo kujionea athari za miondombinu iliyotokana na mvua zilizonyesha hivi karibuni

No comments:

Post a Comment